Hali ya haki za watoto Tanzania
by
Research report on the situation of children's rights in Tanzania. >Lengo kuu la utafiti huulilikuwa ni kubainisha hali halisi kuhusu usimamizi wa haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai nchini, kwa minajili ya kuangalia ni kwa namna gani marekebisho …
- ● 89% match for you
- ● children's books
the long version
Research report on the situation of children's rights in Tanzania. >Lengo kuu la utafiti huulilikuwa ni kubainisha hali halisi kuhusu usimamizi wa haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai nchini, kwa minajili ya kuangalia ni kwa namna gani marekebisho katika mfumo wa sera na sheria kuhusu swala zima la haki za watoto yanaweza kufanywa. Utafiti huu pia ulilenga katika kubainisha ukiukwaji wa haki katika vyombo vilivyokabidhiwa dhamana ya kulinda haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai nchini, kwa upande mmoja; na kwa upande mwingine, ulilenga katika kuweka kumbukumbu za kesi ambazo kwazo twaweza kung'amua kiwango cha usimamizi mzuri au usimamizi mbovu wa haki za watoto nchini. - dibaji
Margaret's verdict
"Research report on the situation of children's rights in Tanzania. >Lengo kuu la utafiti huulilikuwa ni kubainisha hali halisi kuhusu usimamizi wa haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai …"
highlights
what readers held onto
No highlights yet. Be the first.
discussion
what readers said
No reviews yet. Finish it; tell us what you found.